| Training/Event Name : | UDEREVA WA GARI NA PIKIPIKI - 13 |
|---|---|
| Location/Venue : | MUST MAIN CAMPUS |
| Duration : | 31-08-2026 - 28-09-2026 |
| Training/Event Fee : | 120,000.00 |
Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kinawakaribisha wote kupata mafunzo ya udereva.
Mafunzo haya yatakupatia Ujuzi, Maarifa na Nidhamu ya Udereva. Mafunzo yanatarajiwa kuanza Tarehe 31/08/2026 - 28/09/2026
Gharama:
Jumla ya gharama ya mafunzo haya ni 225,000/= ambayo italipwa kama ifuatavyo:-
1. 120,000/= Kwa Control Number
2. 105,000/= Taslimu italipwa ofisi ya idara ya Mechanical
Kwa mawasiliano zaidi piga namba za simu zifuatazo: 0658 600316, au 0763 455149