| Training/Event Name : | KOZI YA UDEREVA |
|---|---|
| Location/Venue : | Darasa la Udereva MUST |
| Duration : | 24-11-2025 - 19-12-2025 |
| Training/Event Fee : | 100,000.00 |
Chuo kikuu cha Sayansi n Teknolojia Mbeya (MUST)
kinawakaribisha wote kupat mafunzo ya udereva. Mafunzo haya yatakupatia Ujuzi, Maarifa na Nidhamu ya
Udereva. Mafunzo yanatarajiwa kuanza Tarehe 24/11/2025 - 19/12/2025
Gharama:
Jumla ya gharama ya mafunzo haya ni 155,000/= ambayo
italipwa kama ifuatavyo:-
1. 5,000 Malipo ya fomu ya maombi italipwa taslimu ofisi ya mkuu wa idara ya Mechanical
2. 100,000/= Kwa Control Number
2. 50,000/= Taslimu italipwa ofisi
ya idara ya Mechanical