MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
ONLINE BILLING AND INVOICING SYSTEM
November 23,2026
View Training/Event Information
Training/Event Name : MAFUNZO YA UDEREVA WA BAJAJI AU PIKIPIKI
Location/Venue : MUST MAIN CAMPUS
Duration : 19-10-2026 - 17-12-2026
Training/Event Fee : 20,000.00
Training/Event Description

CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST)

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kinawatangazia wananchi wote kuwa kinatoa mafunzo ya udereva wa Pikipiki na Bajaji kwa lengo la kuwajengea washiriki ujuzi, maarifa na nidhamu inayohitajika katika uendeshaji salama wa vyombo hivyo vya usafiri.

Tarehe za Mafunzo: 19 Oktoba – 17 Novemba 2026

GHARAMA ZA MAFUNZO

  • Mafunzo ya udereva wa Pikipiki: TZS 20,000/=

  • Mafunzo ya udereva wa Bajaji: TZS 20,000/=

  • Jumla kwa anayesoma mafunzo yote mawili: TZS 40,000/=


Deadline for Registration :: Thursday Dec 17 2026
Registration Information

REGISTER AS INDIVIDUAL