Training/Event Name : | KOZI YA UDEREVA |
---|---|
Location/Venue : | DARASA LA UDEREVA |
Duration : | 22-09-2025 - 24-10-2025 |
Training/Event Fee : | 105,000.00 |
Chuo kikuu cha Sayansi n Teknolojia Mbeya (MUST) kinawakaribisha wote kupat mafunzo ya udereva. Mafunzo haya yatakupatia Ujuzi, Maarifa na Nidhamu ya Udereva. Mafunzo yanatarajiwa kuanza Tarehe 22/09/2025 - 24/10/2025
Gharama:
Jumla ya gharama ya mafunzo haya ni 155,000/= ambayo italipwa kama ifuatavyo:-
1. 105,000/= Kwa Control Number
2. 50,000/= Taslimu italipwa ofisi ya idara ya Mechanical
Kwa mawasiliano zaidi piga namba za simu zifuatazo: 0658 600316, 0762 637363 au 0763 455149