| Training/Event Name : | UDEREVA WA GARI - 14 |
|---|---|
| Location/Venue : | MUST MAIN CAMPUS |
| Duration : | 05-10-2026 - 30-10-2026 |
| Training/Event Fee : | 105,000.00 |
Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kinawakaribisha wote kupata mafunzo ya udereva.
Mafunzo haya yatakupatia Ujuzi, Maarifa na Nidhamu ya Udereva. Mafunzo yanatarajiwa kuanza Tarehe 05/10/2026 - 30/10/2026
Gharama:
Jumla ya gharama ya mafunzo haya ni 200,000/= ambayo italipwa kama ifuatavyo:-
1. 105,000/= Kwa Control Number
2. 95,000/= Taslimu italipwa ofisi ya idara ya Mechanical
Kwa mawasiliano zaidi piga namba za simu zifuatazo: 0658 600316, au 0763 455149