| Training/Event Name : | KOZI YA UDEREVA - 11 |
|---|---|
| Location/Venue : | DARASA LA UDEREVA - MUST |
| Duration : | 06-07-2026 - 03-08-2026 |
| Training/Event Fee : | 105,000.00 |
Chuo kikuu cha Sayansi n Teknolojia Mbeya (MUST) kinawakaribisha wote kupata mafunzo ya udereva.
Mafunzo haya yatakupatia Ujuzi, Maarifa na Nidhamu ya Udereva. Mafunzo yanatarajiwa kuanza Tarehe 06/07/2026 - 03/08/2026
Gharama:
Jumla ya gharama ya mafunzo haya ni 200,000/= ambayo italipwa kama ifuatavyo:-
1. 105,000/= Kwa Control Number
2. 95,000/= Taslimu italipwa ofisi ya idara ya Mechanical
Kwa mawasiliano zaidi piga namba za simu zifuatazo: 0658 600316, au 0763 455149